Habari, Karibu!
HOME CATEGORIES TRUSTED SELLERS BOOSTED PRODUCTS PREMIUM SELLERS HUDUMA ZETU
× Bidhaa

WhatsApp Boost

🛒 SokoHub

🏪

Jina la Duka

🛠️ HUDUMA ZETU

Kuza biashara yako na SokoHub Tanzania

⭐

MUUZAJI WA KAWAIDA

Unapata akaunti ya kawaida bila kulipia, na uwezo wa kuweka bidhaa zako sokoni kwa utaratibu mzuri bila kikomo.

🏅

MUUZAJI WA SILVER (PREMIUM)

Unapata nafasi nzuri zaidi ya bidhaa zako kuonekana katika bidhaa za premeum, unapata uaminifu (beji ya Silver), pia unapata kipaumbele mbele ya wateja wanapo tafuta bidhaa. Tsh. 20,000/Mwezi

👑

MUUZAJI WA GOLD (PREMIUM)

Unapata uwanachama wa SokoHub kwa kupata duka lako rasmi la kidijitali pamoja na link ya bidhaa zako za SokoHub, beji ya uaminifu (Gold), na bidhaa zako zinawekwa mbele kabisa kupata wateja haraka. Tsh. 100,000/Mwaka

⚡

BOOST PRODUCT (KUPANDISHA BIDHAA)

Ongeza nguvu kwenye bidhaa yako ili ionekane juu ya soko kuu kwa wateja wote wanaotembelea SokoHub Tanzania. Tsh. 5,000/wiki

✅

UHAKIKI WA BIASHARA YAKO (VERIFICATION)

Thibitisha jina na biashara yako ili upate alama ya uaminifu. Wateja wanapenda kununua kwa wauzaji waliohakikiwa na SokoHub. Tsh.20,000 TU

📱

JINSI YA KU-INSTALL SOKOHUB

Kwenye Android (Chrome):

Bonyeza vitone vitatu (vya juu kulia) kisha bofya "Add to Home screen" au "Install app".

Kwenye iPhone (Safari):

Bonyeza kitufe cha kushea (Share icon - mstatili wenye mshale wa juu) kisha bofya "Add to Home Screen".


Unahitaji huduma yoyote kati ya hizi?

Wasiliana Nasi Sasa

Weka Bidhaa Sokoni

×

👑 Vifurushi vya SokoHub

Kila mtumiaji anapost bure bila kikomo! Lakini ukitaka kuongeza mauzo na kuaminika zaidi, chagua kifurushi cha duka hapa chini:

GOLD PREMIUM Beji ya 🥇 + Duka la Mwaka Mzima
Tsh 50,000
SILVER PREMIUM Beji ya 🥈 + Duka la Miezi 6
Tsh 20,000
⚡ BOOST BIDHAA (VIP) Bidhaa kukaa juu ya soko wiki 1
Tsh 5,000

💳 Lipia Hapa (Tigo Pesa):

0671020855

Jina: [WEKA JINA LA HAPA]

Ukishalipa, thibitisha kwa kubonyeza kitufe cha WhatsApp chini.

OMBA GOLD 🥇 OMBA SILVER 🥈
Email WhatsApp
© 2026 SokoHub Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa. Sheria na Masharti Sera ya Faragha